Episodes
   Katika pita pita Zetu kwenye mitandao ya kijamii Tumekutana na mjadara mzito kwenye moja ya page , ikiweza kusemea msanii ibraah kutoka konde gang, kuwa sio lazima saana kujibu kila maswali ambayo maybe anakuwa akihulizwa na waandishi au broga mbali mbali , Ishu imekuwa kwanza kijana amekuwa very flexible na ananyoosha saana mahelezo kwenye kujibu, na uzuri au ubaya hata akihulizwa maswali ambayo yanalenga upande wa pili ambapo kuna ushindani wake wa mziki yeye unyoosha either kwa kusifia...
Published 06/17/21
Published 06/17/21
Karibu tena kwenye episode nyingine ya NMU PODCAST, Kutana na mwanzirishi wa NMU PODCAST Mr Antidius martine) Kila Mwanadamu kuna vitu anapenda katika maisha, wapo wanaopenda mziki, Movies , Mpira na mengine mengi, kwa Ujumla yote hayo tunayaweka kwanye kipengere cha lifestyle, Wengi wanasema namna ya kuishi au staili au mtindo wa maisha, jambo ambalo utofautiana kuringana na mtu husika kwenye maisha yake. Kwenye Episode hii kutana na ANTIDIUS MARTINE ambaye kwa upnde wake anapenda sana...
Published 04/14/21
karibu kusikiliza episode hii mpya ambayo nmu podcast tumekuandalia, Kwenye episode hii tumezungumzia, maana ya E.P kwa undani zaidi, Pia tumeenda mbali na kuonesha E.p inatakiwa kuwa na Miziki Mingapi na inatakiwa kuwa na dakika ngapi, Pia tumegusia jinsi ambavyo Platform mbalimbali za dunia uchukulia E.P pale msanii Anpoachia E.p. Achilia mbali maan alisi ya E.P Tumeongela faida ambazo msanii anapata pale akiachia kazi zake katika mfumo wa E.P, Pia tumegusia Jinsi E.p Inavyofanya vizuri...
Published 04/07/21
Karibu tena kwenye episode nyingine ya NMU PODCAST kwenye episode hii tumeongelea, kwanini wanamuziki wengi upendelea kuachia nyimbo au kazi zao za mziki siku ya Ijumaa, Je Kunafaida inapelekea wafanye hivi? je ni kwamba Ijumaa hipo na bless Nyingi Kwa wasaniii, Je Yawezekana Mashabiki ndo upendelea hii siku au ni utaratibu umetokea tu, Vipi Hii kidunia imekaaje na wanaizungumziaja, kwa haya na mengine mengi sikiliza hii episode yetu mpya. Tupate mtandaoni instagram....
Published 02/27/21
Kwenye Episode hii tumeongelea kwanini audio ndo utangulia kabla ya Video pale ambapo msanii anataka kuachia kazi, mala nyingi saana waga tunaona audio ndo inatangulia sana kwenye platform nyingi za mziki, kuyajua haya yote ungana nasi kwenye episode hii. --- Send in a voice message: https://anchor.fm/martine945/message
Published 02/26/21
Karibu tena kwenye episode nyingine, kwenye episode hii tumeongelea namna ambavyo watu mbalimbali utumia muda wao kufurahia na kushrekea siku ya Valentine, Tumezoea na tumekuwa tukisikia kuwa Valentine day ni siku ya wapendanao...!!! je ni kwanmna gani wanashrekea Mwezi huu wa pili siku ya Tarehe 14 ......? majibu yote tumekuwekea kwenye Episode hii ya leo. Karibu kusikiliza  --- Send in a voice message: https://anchor.fm/martine945/message
Published 02/06/21
Tunakukaribisha kwenye platform yetu hii ya NMU PODCAST na huu ni msimu mpya wa 2021 ambao utakuwa na mambo mengi mazuri na makubwa ambayo utaenjoy kutusikiliza na kutufatilia . karibu NMU PODCAST. --- Send in a voice message: https://anchor.fm/martine945/message
Published 02/03/21
Karibu Kwnye final session ya The power of Music Beyond Entertainment,  Imekuwa wakati mzuri na session bora na wanafamilia ya nmu podcast, kwenye hii episode ya mwisho tumekusogezea mambo mengi ambayo mziki umekuwa na nafasi kubwa ya ushawishi na kuweza kuleta majibu postive kabisa . kwenye hii session tumezungumzia mziki ambavyo umetumika kupigania HAKI na kuleta majibu chanya, hapa utasikia namna ambavyo baadhi ya wasanii wamekuwepo kuwa chombo cha kusemea kwa wanyonge na wananchi ambao...
Published 10/31/20
Karibu kwenye familia . --- Send in a voice message: https://anchor.fm/martine945/message
Published 10/30/20
Karibu Nmu Podcast Tuendelee na Topiki Yetu kama session nyingine zilizopita zimekuwa nawe zikikupasha juu ya Nguvu ya mziki, Karibu    tusikilize hapa Jinsi mziki Umekuwa sehemu Kubwa sana ya kukuza utamaduni na kusambaza tamaduni za mataifa mbalimbali Karibu. --- Send in a voice message: https://anchor.fm/martine945/message
Published 10/19/20
Karibu kwenye episode Yetu hii mpya, Kwenye session 3 ya The power of music beyond entertainment, kwenye session hii tumeongelea kwa undani sana nguvu ya muziki nje ya burudani, kwa kuangazia upande wa siasa. --- Send in a voice message: https://anchor.fm/martine945/message
Published 10/13/20
Karibu kwenye episode Yetu hii mpya, Kwenye session ya pili ya The power of music beyond entertainment, kwenye session hii tumeongelea kwa undani sana nguvu ya muziki nje ya burudani, kwa kuangazia upande wa mahusiano, Hapa tumeongelea jinsi mziki umekuwa nguzo muhimu na chombo muhimu kwenye mahusiano, ya kimapenzi , kiundugu pia na kuwa kiunganishi bora chenye kuleta maelewano mazuri baina ya wahusika. Pia tumeenda mbali zaidi na kuona mziki huu ukitumika vizuri unavyoweza kuwa dawa , hapa...
Published 09/20/20
*THE POWER OF MUSIC BEYOND ENTERTAINMENT* 🌀session #1 Karibu Sana kwa mara nyingine Tena msikilizaji wa NMU PODICAST, ambapo leo tunakuletea mjadala Kuhusu *THE POWER OF MUSIC BEYOND ENTERTAINMENT* hapa utapata kujua kwa mapana zaidi kuhusiana na ni kwa namna gani "mbali na kukupa burudani, muziki una nguvu kubwa Sana katika kuhamasisha, kuchochea na kuchagiza ufanikishaji wa mambo mengi Sana katika nyanja tofauti za kimaisha. Hivyo Basi, katika epsode hii ya kwanza utapata...
Published 09/12/20
Kwenye hii episode Tumekaa na Lightness na Vaileth , kuzungumzia kiundani zaidi kuhusu mziki na tasinia kiujumla, kwenye hii episode wamegusa mambo mengi saana , zikiwemo changamoto wanazupitia wasanii wa kike kwenye kuwa mastaa wakubwa wa kimziki, wamezungumzia fashion inavyoenda, wameenda mbali zaidi na kugusia kuhusu mavideo vixens wanavyochukuliwa na jamii, lakini pia wametoa maoni yao juu ya wanavyoliona game la muziki wa Tanzania. Kwa mengi zaidi Enjoy mazungumzo haya ambayo yapo...
Published 08/29/20
Karibu kwenye episode hii , ambayo inakukutanisha na Molly Passion msanii wa muziki wa Bongo, ambaye anafanya mziki mzuri saana wa kisasa, Kupitia episode hii Molly passion ameweza kuzungumzia mziki na kazi yake ambayo amekuwa akiitilia Nguvu toka akiwa mdogo, Pia anayo kazi mpya ambayo inafanya vyema na ngoma hiyo inaitwa TRUMPET. Kwenye hii episode ameshare mambo mengi kuhusu mziki wa bongo na experience yake kwenye industry Nzima, utapata kusikia Mengi saana na katika mengi hayo utapata...
Published 08/18/20
Karibu kwenye episode hii , ambayo inakukutanisha na Molly Passion msanii wa muziki wa Bongo, ambaye anafanya mziki mzuri saana wa kisasa, Kupitia episode hii Molly passion ameweza kuzungumzia mziki na kazi yake ambayo amekuwa akiitilia Nguvu toka akiwa mdogo, Pia anayo kazi mpya ambayo inafanya vyema na ngoma hiyo inaitwa TRUMPET. Kwenye hii episode ameshare mambo mengi kuhusu mziki wa bongo na experience yake kwenye industry Nzima, utapata kusikia Mengi saana na katika mengi hayo utapata...
Published 08/18/20
Kwenye Episode hii Tumeongelea Nyimbo ambazo wasnii Nguli watatu wameweza kutumia adithi zenye ujumbe mzito na kuweza kuziweka kwenye Ngoma, Kwa namna nyingine Tunaweza kusema wasanii hawa wametumia simulizi ambazo zipo mtaani wa watu wanakumbana nazo kwenye maisha ya kawaida na wao wakaamua kuzitumiakatika Sanaa ya muziki na utunzi wenye mpangilio, hatimaye na wakatuletea ngoma au mziki unao ishi siku zote. Kwenye part Hii ya Pili, Utaweza kusikia Namna ambavyo msanii Ferooz alivyoweza...
Published 08/06/20
Karibu kwenye Episode nyingine tena ambapo kwenye hii episode tumezungumzia Nguvu ya adithi na simulizi ndani ya muziki, Tumekuwa tukiona wasanii wengi wakijitaidi kutunga nyimbo mbali mbali zenye jumbe Muhimu sana , lakini kwenye upande wa kupromote na kuwafikishia wasikilizaji, jambo limekuwa tofauti na mtazamo wa wengi, kwenye episode hii Karibu tuanze mazungumzo haya ambayo bila shaka utaweza kuenjoy na kupata jambo jipya,  ambalo wewe kama ni msanii na mwandishi unaweza kufaidika na...
Published 07/31/20
Karibu NMU PODCAST
Published 07/09/20
Kwenye Episode hii, Tumekaa na kupiga story na mmoja wa wanamitindo anayekuja kwa kasi kwenye tasinia ya mitindo au fashion, PYRO POUND ameweza kushare mengi kuhusu mitindo na kuzungumza namna fashion inavyoweza kuchangia katika kumkuza msanii na Muziki wake, Mbali na hayo amezungumzia Pia kuhusu Brand yao ya ALTERNATIVE-CODES kama brand ya Nguo mbali mbali na kwa kuanza wameshazalisha aina mbalimbali za jinzi ambazo tiari zishaanza kupata masoko kwa watu mbalimbali, Pia ikumbukwe ni Pyro...
Published 07/06/20
Kwenye Episode hii, Tumekaa na kupiga story na mmoja wa wanamitindo anayekuja kwa kasi kwenye tasinia ya mitindo au fashion, PYRO POUND ameweza kushare mengi kuhusu mitindo na kuzungumza namna fashion inavyoweza kuchangia katika kumkuza msanii na Muziki wake, Mbali na hayo amezungumzia Pia kuhusu Brand yao ya ALTERNATIVE-CODES kama brand ya Nguo mbali mbali na kwa kuanza wameshazalisha aina mbalimbali za jinzi ambazo tiari zishaanza kupata masoko kwa watu mbalimbali, Pia ikumbukwe ni Pyro...
Published 07/06/20