WHY MOST ARTIST TEND TO RELEASE MUSIC ON FRIDAY...!!!
Listen now
Description
Karibu tena kwenye episode nyingine ya NMU PODCAST kwenye episode hii tumeongelea, kwanini wanamuziki wengi upendelea kuachia nyimbo au kazi zao za mziki siku ya Ijumaa, Je Kunafaida inapelekea wafanye hivi? je ni kwamba Ijumaa hipo na bless Nyingi Kwa wasaniii, Je Yawezekana Mashabiki ndo upendelea hii siku au ni utaratibu umetokea tu, Vipi Hii kidunia imekaaje na wanaizungumziaja, kwa haya na mengine mengi sikiliza hii episode yetu mpya. Tupate mtandaoni instagram. https://www.instagram.com/nextmusicuniverse/ Karibu Tuungane na Tujadiri kwa pamoja.   --- Send in a voice message: https://anchor.fm/martine945/message
More Episodes
   Katika pita pita Zetu kwenye mitandao ya kijamii Tumekutana na mjadara mzito kwenye moja ya page , ikiweza kusemea msanii ibraah kutoka konde gang, kuwa sio lazima saana kujibu kila maswali ambayo maybe anakuwa akihulizwa na waandishi au broga mbali mbali , Ishu imekuwa kwanza kijana amekuwa...
Published 06/17/21
Published 06/17/21
Karibu tena kwenye episode nyingine ya NMU PODCAST, Kutana na mwanzirishi wa NMU PODCAST Mr Antidius martine) Kila Mwanadamu kuna vitu anapenda katika maisha, wapo wanaopenda mziki, Movies , Mpira na mengine mengi, kwa Ujumla yote hayo tunayaweka kwanye kipengere cha lifestyle, Wengi wanasema...
Published 04/14/21