KWANI NI LAZIMA KUJIBU KILA SWALI KWENYE INTERVIEW??
Listen now
Description
   Katika pita pita Zetu kwenye mitandao ya kijamii Tumekutana na mjadara mzito kwenye moja ya page , ikiweza kusemea msanii ibraah kutoka konde gang, kuwa sio lazima saana kujibu kila maswali ambayo maybe anakuwa akihulizwa na waandishi au broga mbali mbali , Ishu imekuwa kwanza kijana amekuwa very flexible na ananyoosha saana mahelezo kwenye kujibu, na uzuri au ubaya hata akihulizwa maswali ambayo yanalenga upande wa pili ambapo kuna ushindani wake wa mziki yeye unyoosha either kwa kusifia au kwa kutolea ufafanuzi Kupitia ilo tukaona je hii imekaaje kwenye ishu nzima ya msanii kama brand na kama bidhaa, je inamwalibia au, inamtengenezea njia nzuri ya kueleweka kwa mashabiki, Hapa tunakupa faida na vijihasara ambavyo msanii anaweza kuvipata kupitia kujibu kila maswali kwenye interview. --- Send in a voice message: https://anchor.fm/martine945/message
More Episodes
Published 06/17/21
Karibu tena kwenye episode nyingine ya NMU PODCAST, Kutana na mwanzirishi wa NMU PODCAST Mr Antidius martine) Kila Mwanadamu kuna vitu anapenda katika maisha, wapo wanaopenda mziki, Movies , Mpira na mengine mengi, kwa Ujumla yote hayo tunayaweka kwanye kipengere cha lifestyle, Wengi wanasema...
Published 04/14/21
karibu kusikiliza episode hii mpya ambayo nmu podcast tumekuandalia, Kwenye episode hii tumezungumzia, maana ya E.P kwa undani zaidi, Pia tumeenda mbali na kuonesha E.p inatakiwa kuwa na Miziki Mingapi na inatakiwa kuwa na dakika ngapi, Pia tumegusia jinsi ambavyo Platform mbalimbali za dunia...
Published 04/07/21