THE CONNECTION BETWEEN FASHION AND MUSIC WITH PYRO POUNDS PART ONE
Listen now
Description
Kwenye Episode hii, Tumekaa na kupiga story na mmoja wa wanamitindo anayekuja kwa kasi kwenye tasinia ya mitindo au fashion, PYRO POUND ameweza kushare mengi kuhusu mitindo na kuzungumza namna fashion inavyoweza kuchangia katika kumkuza msanii na Muziki wake, Mbali na hayo amezungumzia Pia kuhusu Brand yao ya ALTERNATIVE-CODES kama brand ya Nguo mbali mbali na kwa kuanza wameshazalisha aina mbalimbali za jinzi ambazo tiari zishaanza kupata masoko kwa watu mbalimbali, Pia ikumbukwe ni Pyro Pound au JAPHET JASSON kama lilivyojina lake la pasipoti, ni Msomi wa mambo ya Bihashara aliyeitimu elimu yake na kupata degree ya Bihashara katika chuo cha Bihashara CBE Dar es salaam, kwa kulitambua ilo pia kwenye hii Episode ameweza kushare mengi kuhusu Bihashara na namna inavyokwenda kwenye Fshion lakini pia kwenye nyanja zote za bihashara. Pia ameshare mapenzi yake kwenye muziki na kuonesha ni namna gani anvyoupenda mziki lakini pia akagusia mwanamziki anayemwangalia zaidi ambaye ni Diamond Platinumz.
More Episodes
   Katika pita pita Zetu kwenye mitandao ya kijamii Tumekutana na mjadara mzito kwenye moja ya page , ikiweza kusemea msanii ibraah kutoka konde gang, kuwa sio lazima saana kujibu kila maswali ambayo maybe anakuwa akihulizwa na waandishi au broga mbali mbali , Ishu imekuwa kwanza kijana amekuwa...
Published 06/17/21
Published 06/17/21
Karibu tena kwenye episode nyingine ya NMU PODCAST, Kutana na mwanzirishi wa NMU PODCAST Mr Antidius martine) Kila Mwanadamu kuna vitu anapenda katika maisha, wapo wanaopenda mziki, Movies , Mpira na mengine mengi, kwa Ujumla yote hayo tunayaweka kwanye kipengere cha lifestyle, Wengi wanasema...
Published 04/14/21