THE POWER OF MUSIC BEYOND ENTERTAINMENT SESSION TWO
Listen now
Description
Karibu kwenye episode Yetu hii mpya, Kwenye session ya pili ya The power of music beyond entertainment, kwenye session hii tumeongelea kwa undani sana nguvu ya muziki nje ya burudani, kwa kuangazia upande wa mahusiano, Hapa tumeongelea jinsi mziki umekuwa nguzo muhimu na chombo muhimu kwenye mahusiano, ya kimapenzi , kiundugu pia na kuwa kiunganishi bora chenye kuleta maelewano mazuri baina ya wahusika. Pia tumeenda mbali zaidi na kuona mziki huu ukitumika vizuri unavyoweza kuwa dawa , hapa utasikia ni kwanamna gani mziki unaondoa stress, kutumika kuwa moja ya sehemu ya kufanya secretion of dopamine Hormone kuzalishwa na kuweza kukuondolea kabisa stress, pia utasikia kuwa mziki unatumika kama Tiba kwa maana kwamba kuna operation ma hospitalini mpaka zifanyike kuna mziki au chombo cha mziki lazima kitumike na kumfanya mgonjwa ajisikie yupo kwenye utulivu mkubwa sana , tunasema concentration process ,  kwa haya na mengi ungana nasi kwenye episode hii na session hii Ya Pili uweze kuwa mmoja ya mwanafamilia wa NMU PODCAST Karibu. Tupate mitandaoni @nextmusicuniverse     
More Episodes
   Katika pita pita Zetu kwenye mitandao ya kijamii Tumekutana na mjadara mzito kwenye moja ya page , ikiweza kusemea msanii ibraah kutoka konde gang, kuwa sio lazima saana kujibu kila maswali ambayo maybe anakuwa akihulizwa na waandishi au broga mbali mbali , Ishu imekuwa kwanza kijana amekuwa...
Published 06/17/21
Published 06/17/21
Karibu tena kwenye episode nyingine ya NMU PODCAST, Kutana na mwanzirishi wa NMU PODCAST Mr Antidius martine) Kila Mwanadamu kuna vitu anapenda katika maisha, wapo wanaopenda mziki, Movies , Mpira na mengine mengi, kwa Ujumla yote hayo tunayaweka kwanye kipengere cha lifestyle, Wengi wanasema...
Published 04/14/21