THE POWER OF MUSIC BEYOND ENTERTAINMENT SESSION FIVE (FINAL SESSION)
Listen now
Description
Karibu Kwnye final session ya The power of Music Beyond Entertainment,  Imekuwa wakati mzuri na session bora na wanafamilia ya nmu podcast, kwenye hii episode ya mwisho tumekusogezea mambo mengi ambayo mziki umekuwa na nafasi kubwa ya ushawishi na kuweza kuleta majibu postive kabisa . kwenye hii session tumezungumzia mziki ambavyo umetumika kupigania HAKI na kuleta majibu chanya, hapa utasikia namna ambavyo baadhi ya wasanii wamekuwepo kuwa chombo cha kusemea kwa wanyonge na wananchi ambao hawana nafasi kubwa ya kupaza sauti, kwakutumia huu mziki na wasanii wake. Pia utasikia Jinsi mwalimu Juliusi Kambarage Nyerere ambavyo pia ameutumia huu Mziki kupenyeza siasa na kuweza kuwashinda  wacoroni kwa kutumia majukwaa ya mziki, kwa kumtumia Bibi mmoja ambaye anaitwa BIBI TITI , Hapa ndo utajua ni kwa namna gani ambavyo mziki umekuwepo toka zamani na kuweza kuwezesha mambo mengi kuweza kufanikiwa . Mbali na haya pia utapata kujua baadhi ya Quotes mbali mbali za watu mashuhuri kuhusu mziki na namna mziki umeweka harama kwnye jamii.  Kwa haya na mengine mengi hembu tusikilize na tufatilie kwenye Podcast Stores zote na kuweza kuwa mwanafamilia wa NMU PODCAST. --- Send in a voice message: https://anchor.fm/martine945/message
More Episodes
   Katika pita pita Zetu kwenye mitandao ya kijamii Tumekutana na mjadara mzito kwenye moja ya page , ikiweza kusemea msanii ibraah kutoka konde gang, kuwa sio lazima saana kujibu kila maswali ambayo maybe anakuwa akihulizwa na waandishi au broga mbali mbali , Ishu imekuwa kwanza kijana amekuwa...
Published 06/17/21
Published 06/17/21
Karibu tena kwenye episode nyingine ya NMU PODCAST, Kutana na mwanzirishi wa NMU PODCAST Mr Antidius martine) Kila Mwanadamu kuna vitu anapenda katika maisha, wapo wanaopenda mziki, Movies , Mpira na mengine mengi, kwa Ujumla yote hayo tunayaweka kwanye kipengere cha lifestyle, Wengi wanasema...
Published 04/14/21