THE POWER OF STORY TELLING IN MUSIC
Listen now
Description
Karibu kwenye Episode nyingine tena ambapo kwenye hii episode tumezungumzia Nguvu ya adithi na simulizi ndani ya muziki, Tumekuwa tukiona wasanii wengi wakijitaidi kutunga nyimbo mbali mbali zenye jumbe Muhimu sana , lakini kwenye upande wa kupromote na kuwafikishia wasikilizaji, jambo limekuwa tofauti na mtazamo wa wengi, kwenye episode hii Karibu tuanze mazungumzo haya ambayo bila shaka utaweza kuenjoy na kupata jambo jipya,  ambalo wewe kama ni msanii na mwandishi unaweza kufaidika na hatimaye ukafikisha kazi yako katika hatua nyingine kubwa .  Karibu upate kusikiliza na kuenjoy episode hii, NMU PODCAST our voice is yours, Tupate mitandaoni @nextmusicuniverse ndo jina pekee tunalopatikana kwenye mitandao ya kijamii.
More Episodes
   Katika pita pita Zetu kwenye mitandao ya kijamii Tumekutana na mjadara mzito kwenye moja ya page , ikiweza kusemea msanii ibraah kutoka konde gang, kuwa sio lazima saana kujibu kila maswali ambayo maybe anakuwa akihulizwa na waandishi au broga mbali mbali , Ishu imekuwa kwanza kijana amekuwa...
Published 06/17/21
Published 06/17/21
Karibu tena kwenye episode nyingine ya NMU PODCAST, Kutana na mwanzirishi wa NMU PODCAST Mr Antidius martine) Kila Mwanadamu kuna vitu anapenda katika maisha, wapo wanaopenda mziki, Movies , Mpira na mengine mengi, kwa Ujumla yote hayo tunayaweka kwanye kipengere cha lifestyle, Wengi wanasema...
Published 04/14/21