UNPACKING MENTORS AND BRAINSTORMING ON MUSIC INDUSTRY WITH LIGHTNESS & VAILETH
Listen now
Description
Kwenye hii episode Tumekaa na Lightness na Vaileth , kuzungumzia kiundani zaidi kuhusu mziki na tasinia kiujumla, kwenye hii episode wamegusa mambo mengi saana , zikiwemo changamoto wanazupitia wasanii wa kike kwenye kuwa mastaa wakubwa wa kimziki, wamezungumzia fashion inavyoenda, wameenda mbali zaidi na kugusia kuhusu mavideo vixens wanavyochukuliwa na jamii, lakini pia wametoa maoni yao juu ya wanavyoliona game la muziki wa Tanzania. Kwa mengi zaidi Enjoy mazungumzo haya ambayo yapo kukupa wewe furaha na kukuacha na jambo lenye mchango chanya kwenye maisha ya kila siku.
More Episodes
   Katika pita pita Zetu kwenye mitandao ya kijamii Tumekutana na mjadara mzito kwenye moja ya page , ikiweza kusemea msanii ibraah kutoka konde gang, kuwa sio lazima saana kujibu kila maswali ambayo maybe anakuwa akihulizwa na waandishi au broga mbali mbali , Ishu imekuwa kwanza kijana amekuwa...
Published 06/17/21
Published 06/17/21
Karibu tena kwenye episode nyingine ya NMU PODCAST, Kutana na mwanzirishi wa NMU PODCAST Mr Antidius martine) Kila Mwanadamu kuna vitu anapenda katika maisha, wapo wanaopenda mziki, Movies , Mpira na mengine mengi, kwa Ujumla yote hayo tunayaweka kwanye kipengere cha lifestyle, Wengi wanasema...
Published 04/14/21