VALENTINE ADVENTURE IN NMU PODCAST
Listen now
Description
Karibu tena kwenye episode nyingine, kwenye episode hii tumeongelea namna ambavyo watu mbalimbali utumia muda wao kufurahia na kushrekea siku ya Valentine, Tumezoea na tumekuwa tukisikia kuwa Valentine day ni siku ya wapendanao...!!! je ni kwanmna gani wanashrekea Mwezi huu wa pili siku ya Tarehe 14 ......? majibu yote tumekuwekea kwenye Episode hii ya leo. Karibu kusikiliza  --- Send in a voice message: https://anchor.fm/martine945/message
More Episodes
   Katika pita pita Zetu kwenye mitandao ya kijamii Tumekutana na mjadara mzito kwenye moja ya page , ikiweza kusemea msanii ibraah kutoka konde gang, kuwa sio lazima saana kujibu kila maswali ambayo maybe anakuwa akihulizwa na waandishi au broga mbali mbali , Ishu imekuwa kwanza kijana amekuwa...
Published 06/17/21
Published 06/17/21
Karibu tena kwenye episode nyingine ya NMU PODCAST, Kutana na mwanzirishi wa NMU PODCAST Mr Antidius martine) Kila Mwanadamu kuna vitu anapenda katika maisha, wapo wanaopenda mziki, Movies , Mpira na mengine mengi, kwa Ujumla yote hayo tunayaweka kwanye kipengere cha lifestyle, Wengi wanasema...
Published 04/14/21