THE POWER OF MUSIC BEYOND ENTERTAINMENT SESSION ONE
Listen now
Description
*THE POWER OF MUSIC BEYOND ENTERTAINMENT* 🌀session #1 Karibu Sana kwa mara nyingine Tena msikilizaji wa NMU PODICAST, ambapo leo tunakuletea mjadala Kuhusu *THE POWER OF MUSIC BEYOND ENTERTAINMENT* hapa utapata kujua kwa mapana zaidi kuhusiana na ni kwa namna gani "mbali na kukupa burudani, muziki una nguvu kubwa Sana katika kuhamasisha, kuchochea na kuchagiza ufanikishaji wa mambo mengi Sana katika nyanja tofauti za kimaisha. Hivyo Basi, katika epsode hii ya kwanza utapata ufafanuzi wa kina kabisa Kuhusu nguvu ya muziki katika mambo makuu mawili; #1. *michezo(football)* # *2.bishara na uwekezaji.* ....Hapa utapata majibu yote ikiwemo namna mziki ulivyo na impact kubwa katika michezo na biashara hapa Tz na duniani kiujumla. Kwa hayo na mengine zaidi ungana na *Mr Ability* pamoja na *Martine* . Karibu
More Episodes
   Katika pita pita Zetu kwenye mitandao ya kijamii Tumekutana na mjadara mzito kwenye moja ya page , ikiweza kusemea msanii ibraah kutoka konde gang, kuwa sio lazima saana kujibu kila maswali ambayo maybe anakuwa akihulizwa na waandishi au broga mbali mbali , Ishu imekuwa kwanza kijana amekuwa...
Published 06/17/21
Published 06/17/21
Karibu tena kwenye episode nyingine ya NMU PODCAST, Kutana na mwanzirishi wa NMU PODCAST Mr Antidius martine) Kila Mwanadamu kuna vitu anapenda katika maisha, wapo wanaopenda mziki, Movies , Mpira na mengine mengi, kwa Ujumla yote hayo tunayaweka kwanye kipengere cha lifestyle, Wengi wanasema...
Published 04/14/21