Is this your podcast?
Sign up to track ranks and reviews from Spotify, Apple Podcasts and more
Fotty
PHONE CALL
Podcast ya dakika 60 ipo based on twitter ambapo inafanyika interview kwa njia ya simu ya mkononi ambapo yanaulizwa maswali tofauti tofauti kwa mmoja wa watu ambae atabahatika kupigiwa simu siku ya Ijumaa. Katika Phone call fotty ataongea na Influencers,wafanyabiashara,wasanii na watu wenye kuleta mabadiliko kwenye jamii.
Listen now
Ratings & Reviews
4.3 stars from 25 ratings
Best Podcast
Idea nzuri sana na mpangilio wa maswali ni wa kipekee
Ruky255 via Apple Podcasts · Tanzania · 10/16/22
Kazi nzuri
Big up bro
sam henrq via Apple Podcasts · Tanzania · 02/15/21
Feedback
Kazi nzuri. Show iko poah sana @fotty. Kaza.
Ibrahim Kungunya via Apple Podcasts · Tanzania · 01/17/21
Recent Episodes
Kila mtu ana story yake kwenye maisha na haijalishi ni wakati mgumu kiasi gani unapitia kwenye maisha yako tambua kila mtu anapitia magumu yake. Lucas Malembo ni mwanzilishi wa "Malembo Farm" inayojishughulisha na maswala yote ya kilimo, Malembo ana amini kua kilimo kinaweza kutengeneza ajira kwa...
Published 10/21/22
Published 10/21/22
Kwenye maisha ya kila siku watu napitia mambo mengi ikiwemo kutafuta hela, stress za familia, stress za kazi n.k na mitandao inabidi iwe sehemu ya mtu kupata furaha hata kama siku yake ilikua mbaya kiasi gani. Kupitia mtandao wa twitter kuna kijana anaitwa "Big0047" yeye huwa anatengeneza memes...
Published 10/14/22
Do you host a podcast?
Track your ranks and reviews from Spotify, Apple Podcasts and more.
See hourly chart positions and more than 30 days of history.
Get Chartable Analytics »