Episodes
Kila mtu ana story yake kwenye maisha na haijalishi ni wakati mgumu kiasi gani unapitia kwenye maisha yako tambua kila mtu anapitia magumu yake. Lucas Malembo ni mwanzilishi wa "Malembo Farm" inayojishughulisha na maswala yote ya kilimo, Malembo ana amini kua kilimo kinaweza kutengeneza ajira kwa vijana wengi na vile vile kuikuza nchi yetu ki uchumi. Wengi tumemzoea Lucas Malembo akiongelea kilimo mara kwa mara ila kwenye episode hii amegusia mambo aliyopitia kwenye maisha yake kupelekea...
Published 10/21/22
Published 10/21/22
Kwenye maisha ya kila siku watu napitia mambo mengi ikiwemo kutafuta hela, stress za familia, stress za kazi n.k na mitandao inabidi iwe sehemu ya mtu kupata furaha hata kama siku yake ilikua mbaya kiasi gani. Kupitia mtandao wa twitter kuna kijana anaitwa "Big0047" yeye huwa anatengeneza memes kwa njia ya picha na watu wengi wamekua wakifurahishwa na ubunifu wake. Tumeongea kuhusu mtandao uliompa yeye umaarafu na story nyingine kibao kumuhusu yeye. Natumaini utaenjoy mahojiano haya.
Published 10/14/22
Joyce
Published 05/21/21
Wakazi
Published 03/12/21
Gillsaint
Published 03/05/21
Mwaisa
Published 02/26/21
Mr & Mrs Mrusi
Published 02/15/21
Jabir Saleh
Published 01/29/21
Bajabir
Published 01/22/21
Madenge
Published 01/15/21
Madenge
Published 01/15/21
Jalilu
Published 08/07/20
Chapo
Published 07/24/20
Chapo
Published 07/23/20
G
Published 07/17/20
Jeff
Published 07/12/20
Coco
Published 07/03/20
Baada ya mapokezi mazuri ya msimu wa kwanza uliokua na takribani Episodes 10 ambapo wahusika walikua...@MiriamMkanaka @mpambazi @abdulazackabdul @Mudimabiriani @princessfeona @mcnikawalamar @lusakowakwanza @georgeAmbangile @shamiraMshangama @fredKavishe. Tulichukua break ya week mbili na Tarehe 3/7/2020 tunarudi tena kwa Ajili ya msimu wa 2 Asante kwa Support yako kuanzia Episode ya kwanza msimu wa 1 mpaka sasa tunaelekea Msimu wa 2.
Published 07/01/20
kavishe
Published 06/05/20
Fred kavishe
Published 06/04/20
Mkurugenzi
Published 05/29/20
Mwanamke Na Uongozi
Published 05/28/20
George Ambangile
Published 05/22/20
George Ambangile
Published 05/20/20