Episodes
Lusako
Published 05/16/20
Lusako
Published 05/14/20
Mcnika
Published 05/08/20
Mcnika wa Lamar
Published 05/06/20
Princess Feona
Published 05/01/20
Princess Feona
Published 04/30/20
Mpishi maarufu wa biriani anaejulikana kama Mudi Mabiriani ndo nilipata nafasi ya kufanya nae interview na kupiga nae stori hususani kuhusu biashara yake ya chakula aina ya Biriani. Kama ww ni mfanyabiashara au ni kijana tu mpambanaji basi amini una mengi ya kujifunza kupitia hii Episode.
Published 04/24/20
Teaser Mudimabiriani
Published 04/23/20
Katika Episode hii nipo na mtaalam wa kupigia promo Samaki aina ya Dagaa na pia ni mtu wa kuweka wazi Maparody kwenye mtandao wa twitter yani watu wanaotumia Identity ambazo sio zao
Published 04/17/20
Dr.Zack
Published 04/15/20
Interview na mtumiaji wa twitter anaejulikana kwa jina la Mpambazi
Published 04/10/20
#phonecallbyfotty
Published 04/08/20
Miriam Mkanaka anajulikana twitter kama @miriammkanaka ni mwandishi,Motivational speaker na moja ya wakina dada wenye ushawishi mkubwa kwenye mtandao wa twitter.
Published 04/03/20
Teaser
Published 04/03/20
Episode hii tunaongelea chanzo cha ubinafsi
Published 02/25/20
Katika hii episode nipo na mgeni REWARD MINJA ambae ni Motivational Speaker na Mjasiriamali tukizungumzia nini chanzo cha ubinafsi.
Published 02/25/20
Katika hii episode tunaongelea kwa nini tanzania ni ngumu sana kwa wasanii wa mziki kuuza album.
Published 02/11/20