Ukosefu wa maji wapelekea ndoa kuvunjika mchini DRC
Listen now
More Episodes
RAPPER B FACE kutoka nchini Burundi ameachia wimbo wake mpya INGOMA Z’IWACU akiwashilikisha NKUND’ABANTU baada ya SIPENDI UJINGA.Wimbo huo ambao umeanza kuleta gumzo kila sehemu baada ya kuachiwa umetengenezwa na AMIR PRO KUTOKA IKOH MUSIC. Sikiliza na pakua wimbo huo hapa bila chenga...
Published 11/28/17
Mwanamuziki kutoka Burundi mwenye makaazi yake Nchini Afrika kusini ameachia wimbo wake mwingine baada ya kujijengea taji kwa ngoma zake kama FAR AWAY, DONT LET ME GO akiwa na mwenzake YSK. Kwa sasa ameamua kuonyesha ukali wake kwa ngoma yake mpya ambayo amefanya pekee yake. Ngoma imepewa...
Published 11/22/17
Kwa mara nyingine tena mwanamuziki nguli LIZZO ameachia kazi nyingine baada ya kujijengea headlines zingine kwenye video ya wimbo wake wa KABIRIRBIRI. Kuwa wa kwanza kusikiliza na kupakua hii NZOKUDIGADIGA. Usisahau kushare na wengine kama kawaida yetu.
Published 10/30/17