Is this your podcast?
Sign up to track ranks and reviews from Spotify, Apple Podcasts and more
Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS
Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS
Kama unataka kupata habari za nyumbani na wewe uliye nyumbani unataka kujuwa hali ya watu wanao ishi ulaya kutoika africa sehemu maziwa makuu
Listen now
Recent Episodes
RAPPER B FACE kutoka nchini Burundi ameachia wimbo wake mpya INGOMA Z’IWACU akiwashilikisha NKUND’ABANTU baada ya SIPENDI UJINGA.Wimbo huo ambao umeanza kuleta gumzo kila sehemu baada ya kuachiwa umetengenezwa na AMIR PRO KUTOKA IKOH MUSIC. Sikiliza na pakua wimbo huo hapa bila chenga...
Published 11/28/17
Mwanamuziki kutoka Burundi mwenye makaazi yake Nchini Afrika kusini ameachia wimbo wake mwingine baada ya kujijengea taji kwa ngoma zake kama FAR AWAY, DONT LET ME GO akiwa na mwenzake YSK. Kwa sasa ameamua kuonyesha ukali wake kwa ngoma yake mpya ambayo amefanya pekee yake. Ngoma imepewa...
Published 11/22/17
Do you host a podcast?
Track your ranks and reviews from Spotify, Apple Podcasts and more.
See hourly chart positions and more than 30 days of history.
Get Chartable Analytics »