Episodes
RAPPER B FACE kutoka nchini Burundi ameachia wimbo wake mpya INGOMA Z’IWACU akiwashilikisha NKUND’ABANTU baada ya SIPENDI UJINGA.Wimbo huo ambao umeanza kuleta gumzo kila sehemu baada ya kuachiwa umetengenezwa na AMIR PRO KUTOKA IKOH MUSIC. Sikiliza na pakua wimbo huo hapa bila chenga zozote.Usisahau kushare na wengine kama kawaida yetu.
Published 11/28/17
Mwanamuziki kutoka Burundi mwenye makaazi yake Nchini Afrika kusini ameachia wimbo wake mwingine baada ya kujijengea taji kwa ngoma zake kama FAR AWAY, DONT LET ME GO akiwa na mwenzake YSK. Kwa sasa ameamua kuonyesha ukali wake kwa ngoma yake mpya ambayo amefanya pekee yake. Ngoma imepewa jina la REMEMBER MY NAME ikiwa imetengenezwa na jumba zima la SPK STUDIOS. Pakua ngoma hiyo hapa chini bila chenga zozote.Usisahau kushare na wenzako kama kawaida yetu.
Published 11/22/17
Kwa mara nyingine tena mwanamuziki nguli LIZZO ameachia kazi nyingine baada ya kujijengea headlines zingine kwenye video ya wimbo wake wa KABIRIRBIRI. Kuwa wa kwanza kusikiliza na kupakua hii NZOKUDIGADIGA. Usisahau kushare na wengine kama kawaida yetu.
Published 10/30/17
Mafuriko mchini Tanzania hapo Dar es salam. Yaani leo ni Bala.Bado swahilimedias ajipata Habari ya kuusu kifo cha mtu yeyote, lakini watu wame poteza vitu nyingi mali na nyumba zime bomoka.
Published 10/27/17
Mitandaoni leo imekuwa poa sana baada ya wana NGM kusema kwamba mitandaoni siyo poa,ila yote tisa leo ni poa. Baada ya masaa kama manne wimbo WANGU BY NATACHA FEAT. SHEBBAH kuachiwa rasmi na kuwekwa kwenye CHANNEL YA YOUTUBE YA NATACHA BURUNDI,zimeamka comments nyingi kibao za mashabiki zaidi wakionyesha kuikubali kazi hiyo. Sikiliza na Soma hapa chini baadhi ya comments ambazo zipo kwenye channel yake ya YOUTUBE. NATACHA SHEBBAH Endelea kupakua na kusikiliza wimbo huo hapa kama...
Published 10/22/17
HAPPTY FAMBA ameachia kibao chake kingine baada ya kujijengea headlines kubwa kwa kazi yake ya WHY ME? Sasa amerudi kwa kishindo kingine ambacho kimepewa jina la MY TIME. Kuwa mtu wa kwanza kukipakua na kukisikiliza bila shida yeyote. Usisahau kushare na wengine kama kawaida yetu.
Published 10/22/17
NATACHA LA NAMBA baada ya kujijengea headlines kubwa sana kwa vibao vyake ambavyo vilimtambulisha zaidi ndani na nje ya nchi yake kuanzia UNANIONGOPEA,SHIKILIA,GERAGEZA.sasa ameamua kuchukuwa muda mwingine na kubadirisha mazingira tena kwa kujirusha KAMPALA kwa kazi moja ambayo amemshirikisha Msanii mwenzake wa kike anayetamba zaidi kwa kibao chake cha RWATAKO. Kukwa wa kwanza kujipatia kibao hicho cha wawili hao kikiwa kimepewa jina la WANGU utamu mwingi uko ndani yake. Usiseheu kushare na...
Published 10/22/17
Kuwa wakwanza kujipatia wimbo mpa wa kwake mwanamuziki wa kike anayejulikana kama PAMY QUEEN,mwanadada ambae kwa sasa anaonekana kuja kivingine kwenye industry nzima ya BUJA FLEVA. Usisahau kushare na wengine kama kawaida yetu. Ikiwa we ni msanii na unataka kazi zako zipitishwe hapa na kwenye vipindi vyetu tofauti,usishindwe kuwasiliana na sisi kwenda nambari +257 75497258 whatsapp pia
Published 10/08/17
Burundian artist known as M LEE drops his new audio titled EAST AFRICAN GIRL produced by CAPTAIN BLUE in CAPTAIN SOUND RECORDS. Be the first to download and listen to it and keep sharing with others.
Published 09/04/17
Baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa BUJUMBURA RAPPER GAGA BLUE anayetamba kwa kibao cha IVO IVO alichomshirikisha Rapper kutoka TANZANIA YOUNG D amefunguka na kusema ukweli uliokuwa umejificha nyuma ya kibao hicho ukiambatanisha na meneno ya watu fulani. sikiliza alichokizungumza kuhusu wanaodai kuwa kacopy ngoma hiyo na majibu kwa ZACKY Classic Producer aneyesemekana kuwa ndie aliyeleta idea ya ngoma hiyo. endelea kutazama video ya IVO IVO na kufurahia na...
Published 09/03/17
SGLM ime fanya interview na msanii kutoka DAR es salam wa mziki wa BOLINGO: Mr. KABA 5. Msanii huyo ana sema kwamba medias zina sahahu au hazi promoti mziki wa Bolingo. Yaani zina promoti sana style ya Bongo Fleva kuliko style zingine  .
Published 08/15/17
Burundian artist known as AKES DON drops his new audio titled URABARUTA produced by SOPRANO from AFRICAN TOUCH MUZIK. Be the first to listen to and download it here below. stay in contact with us if you want your music to be uploaded onto our website. text us on (+257 75497258)
Published 08/15/17
Burundian young artist settled in south Africa widely known as M LEE releases his new song titled NATAMANI Produced in CAPTAIN SOUND RECORDS by CAPTAIN BLUE. be the first to listen to and download it. Remember to share with others for more news
Published 07/09/17
Be the first to listen to and download CHEERLAEDER, a new song released by CHRIS BIZ produby MASTER-MUZIK. Keep sharing with others for more update news
Published 07/09/17
Burundian celebrated musician widely known as BIG FIZZO drops his new song titled KONZI produced by KOLLY THE MAGIC in INGO MUSIC PRODUCTION Be the first to listen and download it. Remember to share with others
Published 07/09/17
Mwanamuziki kutoka nchini burundi PDK DADDLUZ mwenye makaazi yake nchini Afrika kusini ameachia wimbo wake mpya akimshirikisha mwanamuziki wa kike raia wa Afrika kusini anayetambulika kwa jina la MARIA ZULU. Wimbo huo umepewa jina la ONLY YOU ukiwa umetengenezwa ndani ya studio za CAPITAIN SOUND RECORDS nchini afrika kusini. kuwa wa kwanza kupakua na kusikiliza wimbo huo hapa chini. Usisahau kushare na wengine
Published 07/09/17
Kuna vitu vingine kuamini kwenye maisha inakuwaa ngumu sana lakini wakati mwingine unakuwa huna budi kuamini unapoaminishwa. sasa hii ni moja ambayo inakufanya uelewe kuwa ukweli unakuwa wazi mara nyingi kutokana na kile ambacho kinakupa radha unazozitaka. usiumize kichwa sana kutaka kujua nini kimetokea,kuwa mtu wa kwanza kusikiliza ngoma mpya ya kwake mwanamuziki mchanga sana dogo ambae anafanya mambo makubwa sana ukilinganisha na uwezo wake. hii ni moja kati ya zile ambazo zinaleta...
Published 07/06/17
Mwanamuziki wa kizazi kipya kutoka nchini Burundi anaetambulika kwa jina la MSAMARIA DANIELO akiwa ni mmoja kati ya Wakali kutoka label nzima ya WAKAVU ameachia wimbo wake mpya baada ya kujipatia tunzo kubwa la IZERE AWARDS na kujijengea headlines kubwa kimuziki. Nafasi ni yako kwa sasa kuwa wa kwanza kujipakulia huo WA MSAMARIA DANIELO uliopewa jina la NDOA YANGU ukiwa umetengenezwa na producer MAPOUND kutoka IVO IVO MUSIC
Published 06/29/17
DOWNLOAD WIMBO HUHU NA USIKOSE KU SHARE.
Published 06/16/17
Usikose ku share wimbo huhu.
Published 06/14/17
Kuwa wakwanza kudownload na kusikiliza SISOMEKI REMIX BY B FACE.Wimbo ambao umetengenezwa na maPRODUCERS watatu kutoka nchini Tanzania wakiwa ni Mr T TOUCH,ABBAH, na Mr VS.ni kazi ambayo siyo yakuchezea kabisa ukilinganisha na zile ambazo tumezoea. Usisahau kushare na wengine kama kawaida yetu
Published 05/12/17
Sikiliza na Download wimbo mpya BIRANTESA wa kwake SILENCIEUX DI
Published 05/02/17
Baada ya kujijengea jina na umaarufu mkubwa kwa kazi yake iliyomtambulisha nyumbani na kimataifa pia SHIKILIA.Mwanamuziki kutoka nchini Burundi anayetambulika kwa jina la NATACHA LA NAMBA au LA BABAMBA kama anavyopenda kujiita,ameachia wimbo wake mpya ulipewa jina la ABARUNDIKAZI, ambao umekuja kuchukuwa nafasi ya SHIKILIA baada la muda mrefu sana ukitamba na kumpa jina zaidi. Wimbo huo ambao umebeba sifa zote za Mwanamke wa Kirundi umetengenezwa na Producer wake anaejulikana kama Aron...
Published 02/25/17
Jana tarehe kumi na nne mwezi februari dipo ulimwengu mzima ulisherekea siku kuu ya wapendanao. kutepitia tembea tembea zetu tulikutana na baadahi ya wasanii kwenye show mbali mbali ambazo zilikuwa zimeandaliwa. Sherehe hiyo inayoonekana kuadimishawa sana na vijana tofauti na maana yake ilionekana kuwa yenye furaha kubwa na changamoto kwa baaadhi ya wasanii nchini Burundi. Sikiliza interview tuliofanya na baadhi yao.
Published 02/15/17