Is this your podcast?
Sign up to track ranks and reviews from Spotify, Apple Podcasts and more
DENIS LEONARD NTABULUGWA
SHADOTUBE
Nimetengeneza hii Podcast kwa makusudi makuu matatu, Kwanza ninapenda kufanya, pili ni kwa lengo la kusaidia wengine na tatu ni kwaajili ya kufika mbali .Bila kujali ni mahali gani umetokea au kukulia nitajitahidi kwa njia zangu zote nilizojifunza na kufundishwa na wengine kukusaidia ili kuweza kutimiza haja, nia na ndoto yako juu ya mambo usio ya fahamu ya teknolojia, katika mfumo wa video na audio. Nimeanza kujifunza ni namna gani ya kusaidia wengine nikiwa bado mdogo na haya yote nimeyapata baada ya kuweza kupitia changamoto mbali mbali ambazo zimenifanya nithubutu kusaidia.
Listen now
Recent Episodes
Ningependa sana tuongee swala hili la technology kwenye maximam --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/shadotube/message
Published 04/29/24
Published 04/29/24
Nini tufanye sisi kama vijana wa kitanzania ambao tunatamani kufika mbali, tunatamani kuona wanaptuzunguka wanajifunza kutoka kwetu. --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/shadotube/message
Published 04/21/24
Do you host a podcast?
Track your ranks and reviews from Spotify, Apple Podcasts and more.
See hourly chart positions and more than 30 days of history.
Get Chartable Analytics »