Episodes
Ningependa sana tuongee swala hili la technology kwenye maximam --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/shadotube/message
Published 04/29/24
Published 04/29/24
Nini tufanye sisi kama vijana wa kitanzania ambao tunatamani kufika mbali, tunatamani kuona wanaptuzunguka wanajifunza kutoka kwetu. --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/shadotube/message
Published 04/21/24
Published 03/11/24
Kama mwana chama na mwananchi wa miongoni mwa nchi zinazounda Umoja wa Africa Mashariki ni mefurahi kuanza kuona fununu za sarafu ambayo itakua inatumika ndani ya umoja wetu. --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/shadotube/message
Published 03/05/24
Tumia internet --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/shadotube/message
Published 12/22/23
Shorts Custom Thumblenail it easily to use this process --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/shadotube/message
Published 10/28/23
Kupitia kipindi hiki utajifunza namna ya kutunza details zako --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/shadotube/message
Published 10/21/23
Jifunze namna ya kujisajili na kuweza kua miongoni mwa washindi wa (Green Card Rotary) DV-2024 Program: Online Registration DV-2024 Program: The online registration period for the DV-2024 Program begins on Wednesday, October 5, 2022, at 12:00 noon, Eastern Daylight Time (EDT) (GMT-4) and concludes on Tuesday, November 8, 2022, at 12:00 noon, Eastern Standard Time (EST) (GMT-5).  Submission of more than one entry for a person will disqualify all entries for that person. --- Send in a...
Published 08/17/23
Najua watu wengi wanapitia wakati mgumu sana katika kuuliza maswali ni namana gani mimi nimeweza kufungua podcast yangu, Naweza sema niko tayari kukufundisha na wewe uweze kufungua podcast yako. --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/shadotube/message
Published 03/12/23
Ni kutulia na kuangalia malengo ya maana na kuacha kuluka luka. --- Send in a voice message: https://anchor.fm/shadotube/message
Published 01/16/23
Hongereni sana timu yangu kwa kuvuka hatua ngumu ambayo wengi wetu tulikua hatutegemei☺️☺️ --- Send in a voice message: https://anchor.fm/shadotube/message
Published 11/09/22
Kutokana na watu webgi kuongezeka ndani ya YouTube, watu wamekua na channel bila kujua. Inawezekana ukawa unajua au hujui lakini ukifuatilia video hii utagundua kitu. --- Send in a voice message: https://anchor.fm/shadotube/message
Published 08/09/22
Nitafurahi sana kama ukiniffolow na kuendelea kushare podcast yangu. Asanteni sana. --- Send in a voice message: https://anchor.fm/shadotube/message
Published 08/05/22
Jiunge na sisi kwa kupata faidia zaidi kwa kua mtajia tutakaokua nao utatuwezesha kukua na kufanikisha malengo yetu, makubaliano mazuri kati yetu na wewe ndio yatakua mafanikio ya biashara yetu --- Send in a voice message: https://anchor.fm/shadotube/message
Published 02/15/22
Ndio, huyu ndio mwalimu anae ielewa forex kwa undani zaidi, ambae hachagui lika wala mahali, anafanya kazi usiku na mchana kuhakikisha unapata elimu iliyo bora. MP4 ya audio hii utaipata kwenye channel yetu ya SHADOTUBE. Kupitia link hii https://youtu.be/Hwq3sLrnErg --- Send in a voice message: https://anchor.fm/shadotube/message
Published 01/25/22
Yea, hii ndio maana halisi ya rebet service ambayo inatolewa na GREENBACKS kupitia segment yake ya CASHBACK kihakikisha vijana wote wanao trade Tanzania wananufaika na huduma hii ili waweze kukua na kuendelea kupata faidia zaidi ndani ya forex. MP4 Vision ya audio hii inapatikana kupitia link hii https://youtu.be/IxgMqF7mjB0 --- Send in a voice message: https://anchor.fm/shadotube/message
Published 01/25/22
Yes, full video ipo youtube --- Send in a voice message: https://anchor.fm/shadotube/message
Published 11/22/21
Naitwa Denis Leonard Kutoka Dar es Salaam Tanzania, ninafuraha kuanzisha podcast yangu kwa lengo la kukufyndisha na kukuelekeza wewe unaenifuatilia kujua zaidi. --- Send in a voice message: https://anchor.fm/shadotube/message
Published 10/06/21