Gundua jinsi gani una channel yako ndani ya YouTube bila kujua. Ila unaweza.
Description
Kutokana na watu webgi kuongezeka ndani ya YouTube, watu wamekua na channel bila kujua. Inawezekana ukawa unajua au hujui lakini ukifuatilia video hii utagundua kitu.
---
Send in a voice message: https://anchor.fm/shadotube/message