S01EP001 | Ufafanuzi wa rebet service ambayo inatolewa na kijana wa kitanzania | GREENBACKS.
Description
Yea, hii ndio maana halisi ya rebet service ambayo inatolewa na GREENBACKS kupitia segment yake ya CASHBACK kihakikisha vijana wote wanao trade Tanzania wananufaika na huduma hii ili waweze kukua na kuendelea kupata faidia zaidi ndani ya forex. MP4 Vision ya audio hii inapatikana kupitia link hii https://youtu.be/IxgMqF7mjB0
---
Send in a voice message: https://anchor.fm/shadotube/message