Tanzania Adapts: Kukabiliana na majanga yanayosababishwa na mabadiliko ya tabia ya nchi
Listen now
Description
Tanzania Adapts leo tunaangalia namna ya kukabiliana na majanga yanayosababishwa na mabadiliko ya tabia ya nchi mfano moto,matetemeko, vimbunga na mafuriko. Marygoreth Richard amefanya mazungumza na kamanda wa jeshi la zimamoto na uokoaji mkoa wa zimamoto Ilala Mrakibu Elisa Mugisha. In this episode, our host Marygoreth Richard talks to Elisa Mugisha, who is fire and rescue force commissioner for Ilala, discussing how we can deal with climate change-related hazards such as fire and floods. Tanzania Adapts is a Kiswahili language podcast created by BBC Media Action in Tanzania. It is produced and presented by Marygoreth Richard. Tanzania Adapts is supported by Irish Aid and the Embassy of Belgium in Tanzania. Learn more on YouTube: https://www.youtube.com/@tanzaniaadapts9082 Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
More Episodes
In this Episode Marygoreth Richard seats with Prof. Dr. Aidan Msafiri (PhD), A University lecturer, UN climate change Ambassador for Tanzania and a Founder and Managing Director of Kilimanjaro Consortium Development and Environment Ecoplus (KCDE). In this fascinating conversation Prof Aidan goes...
Published 06/21/23
Published 06/21/23
Kwenye episode hii ya 17 Tanzania Adapts Podcast - Marygoreth Richard amekaa meza moja kuzungumza na Felister Mahuya kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kujadili namna mabadiliko ya tabia ya nchi yanavyosababisha kutofikiwa kwa haki za msingi za binadamu na namna jamii inavyoweza...
Published 05/26/23