Episodes
In this Episode Marygoreth Richard seats with Prof. Dr. Aidan Msafiri (PhD), A University lecturer, UN climate change Ambassador for Tanzania and a Founder and Managing Director of Kilimanjaro Consortium Development and Environment Ecoplus (KCDE). In this fascinating conversation Prof Aidan goes back to the history and science behind climate change and its effects globally and in the country and ways in which we can adapt to those changes. Katika Episode hii Marygoreth Richard anazungumza na...
Published 06/21/23
Published 06/21/23
Kwenye episode hii ya 17 Tanzania Adapts Podcast - Marygoreth Richard amekaa meza moja kuzungumza na Felister Mahuya kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kujadili namna mabadiliko ya tabia ya nchi yanavyosababisha kutofikiwa kwa haki za msingi za binadamu na namna jamii inavyoweza kukabiliana na hali hiyo. On this Episode Marygoreth Richard seats with an expert from Legal and Human Rights center Felister Mahuya to discuss about how climate change is impacting human rights in...
Published 05/26/23
 “Nilijifunza kupitia mtandao kuanzia nyumbani kwa kutumia sufuria na familia yangu waliona napoteza muda kwa ninachofanya lakini nilisema hapana kwakuwa nimesoma mtandaoni kuwa Plastic ina fursa kubwa sana ambayo hatujaitumia ipasavyo hapa Tanzania” Hellen Sailas (26years). Hellen ni mgeni wetu kwenye Episode hii mpya ya Tanzania Adapts Podcast, ni mwanzilishi na Mkurugenzi Arena Recycling anayetumia ubunifu kurejelesha taka za Plastic kutengeneza matofali magumu yanayotumika kwenye ujenzi....
Published 05/11/23
 “Nilijifunza kupitia mtandao kuanzia nyumbani kwa kutumia sufuria na familia yangu waliona napoteza muda kwa ninachofanya lakini nilisema hapana kwakuwa nimesoma mtandaoni kuwa Plastic ina fursa kubwa sana ambayo hatujaitumia ipasavyo hapa Tanzania” Hellen Sailas (26years). Hellen ni mgeni wetu kwenye Episode hii mpya ya Tanzania Adapts Podcast, ni mwanzilishi na Mkurugenzi Arena Recycling anayetumia ubunifu kurejelesha taka za Plastic kutengeneza matofali magumu yanayotumika kwenye ujenzi....
Published 04/28/23
Alizaliwa kijijini Iringa kwenye changamoto ya umeme, Gibson Kawago kijana mbunifu kutoka Tanzania mwanzilishi wa kampuni ya WAGA inayofanya ubunifu wa kurejelesha betri zilizokufa za Kompyuta mpakato ama Laptop kutengeneza betri za lithium-ion zinatotoa nishati safi ya umeme kwa gharama nafuu. Kwenye Episode hii Marygoreth Richard amezungumza na kijana huyu na kudadavua kwa undani ndoto yake ilianzia wapi na kwanini ubunifu wake ni mfano wa kuigwa kukabiliana na changamoto ya mabadiliko ya...
Published 04/14/23
Kwenye Episode hii Marygoreth Richard amezungumza na Mkurugenzi Mkazi wa shirika la WWF kwa Tanzania Dr. Amani Ngusaru kujadili changamoto za mabadiliko ya tabia ya nchi na suluhisho mbalimbali za kitaifa na kimataifa kukabiliana na mabadiliko hayo. In this Episode Marygoreth Richard seats with Dr. Amani Ngusaru WWF Country Director - Tanzania to discuss Climate change solutions both local and International. Tanzania Adapts is a Kiswahili language podcast created by BBC Media Action in...
Published 03/29/23
Kwenye episode hii nimezungumza na Mkuu wa Wilaya ya Hanang mkoani Manyara Bi. Janeth Mayanja tukijadili juu ya upandaji miti kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi ambapo katika wilaya yake anahamasisha upandaji wa miti ya matunda. Pia ndani ya Podcast hii nimezungumza na Afisa Misitu kutoka Wakala wa misitu Tanzania wilaya ya Hanang Rajabu Salehe Mzee akituambia ni kwa namna gani miradi ya namna hii inasaidia kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi. This Podcast episode is recorded...
Published 03/08/23
Leo kwenye Podcast hii Marygoreth Richard anazungumza na Bi. Rose Mnjilo ambaye ni Mkurugenzi wa shirika lisilo la kiserikali linaloshughulikia masuala ya ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake na Watoto kwa jamii za kifugaji.Leo utazungumzia ambavyo namna mabadiliko ya tabia ya nchi yanavyoweza kusababisha ukatili wa kijinsia kwa wanawake na Watoto na namna ya kukabiliana nao. On this Episode Marygoreth Richard seats with Rose Mnjilo – An expert from Pastoralists' community in Tanzania to...
Published 02/17/23
Kwenye Tanzania Adapts Podast wiki hii Marygoreth Richard anazungumza na Mwanahamis Singano Mwanahamisi Singano, Mtaalamu wa masuala ya jinsia na mabadiliko ya tabia ya nchi na harakati zake zimejikita kwenye kuangazia ni kwa namna gani mapambano ya usawa wa kijinsia katika jamii yanaenda sambamba na mapambano dhidi ya athari zitokanazo na mabadiliko ya tabia ya nchi. Tumezungumza mengi tukiangalia utekelezaji wa sera na mikakati ya mabadiliko ya tabia ya nchi Tanzania na namna kila mmoja...
Published 01/26/23
Tanzania Adapts leo tunaangalia namna ya kukabiliana na majanga yanayosababishwa na mabadiliko ya tabia ya nchi mfano moto,matetemeko, vimbunga na mafuriko. Marygoreth Richard amefanya mazungumza na kamanda wa jeshi la zimamoto na uokoaji mkoa wa zimamoto Ilala Mrakibu Elisa Mugisha. In this episode, our host Marygoreth Richard talks to Elisa Mugisha, who is fire and rescue force commissioner for Ilala, discussing how we can deal with climate change-related hazards such as fire and...
Published 01/19/23
Kwenye episode hii nimezungumza na Prof. Magreth Bushesha kutoka Idara ya Jiografia ya Chuo Kikuu Huria Tanzania ambaye pia amebobea kwenye masuala ya mabadiliko ya tabia ya nchi na maisha ya jamii. Kwenye Episode hii tunajadili namna mabadiliko ya tabia yanavyoleta athari kwenye afya ya akili kwa kuzingatia changamoto mbalimbali zinazoletwa na mabadiliko hayo katika maisha ya kila siku ya jamii. Sikiliza sehemu ya pili ya mazungumzo hayo kwenye link inayofuata. Karibu. In this episode, we...
Published 01/19/23
Kwenye episode hii nimezungumza na Prof. Magreth Bushesha kutoka Idara ya Jiografia ya Chuo Kikuu Huria Tanzania ambaye pia ameboea kwenye masuala ya mabadiliko ya tabia ya nchi na maisha ya jamii. Kwenye Episode hii tunajadili namna mabadiliko ya tabia yanavyoleta athari kwenye afya ya akili kwa kuzingatia changamoto mbalimbali zinazoletwa na mabadiliko hayo katika maisha ya kila siku ya jamii. Sikiliza sehemu ya pili ya mazungumzo hayo kwenye link inayofuata. Karibu. In this episode we...
Published 01/19/23
Kwenye episode hii nimezungumza na Prof. Alex Kisingo ambaye ni Profesor mshiriki kutoka Chuo cha usimamizi wa wanyamapori mweka Tanzania tukijadili juu ya hii changamoto ya upatikanaji wa maji na namna mabadiliko ya tabia ya nchi yanavyochangia na kuathiri upatikanaji wa maji Tanzania. Tulifanya mazungumzo haya kwa njia ya simu akitokea Moshi Tanzania na mimi nikiwa Dar es salaam. In this episode we discuss how climate change affects access to water in Tanzania. Marygoreth Richard sits with...
Published 01/19/23
Kufuatia episode yetu iliyopita hii ni sehemu ya pili ya mazungumzo yetu ya namna mabadiliko ya tabia ya nchi yanavyosababisha athari kwenye afya ya uzazi kwa wanawake. Kwenye episode hii tumeenda mbali zaidi na kumtafuta Daktari kuangalia tafiti, ushahidi wa kisayansi unavyosema juu ya kinachotokea hadi athari hizi kuonekana moja kwa moja kwenye afya ya uzazi ya mwanamke. Ni joto au kuna mengine? Mtangazaji Marygoreth Richard amekutana na Dr Amani Kikula ambaye ni Daktari bingwa wa magonjwa...
Published 01/19/23
Moja ya athari za mabadiliko ya tabia ya nchi ni joto kali. Katika episode hii Marygoreth Richard amekutana na kuzungumza na Mkurugenzi mtendaji wa Doris Mollel Foundation, Doris Mollel kujadili namna joto linalosababishwa na mabadiliko ya tabia ya nchi linavyoleta athari kwa mama mjamzito kujifungua mtoto kabla ya wakati. Kama mwanaharakati wa masuala ya Watoto njiti, kwenye episode hii Doris anatupa mifano aliyokutana nayo ya wanawake wanaopata changamoto na kujifungua Watoto njiti kutokana...
Published 01/19/23
Katika episode hii tunajadili namna mabadiliko ya tabia ya nchi yanavyoathiri afya zetu kwa namna mbalimbali kuanzia chakula tunachokula kinachopatikana katika mazingira yetu kutokuwa na ubora unaotakiwa na ongezeko la magonjwa yanayosabishwa na mabadiliko hayo. Marygoreth Richard anazungumza na Dr Linda Paul ambaye ni Mhadhiri kutoka Chuo kikuu cha tiba na sayansi Muhimbili akifafanunua kwa undani hii inatokeaje na namna tunavyoweza kukabiliana na mabadiliko hayo. In this edition our host...
Published 01/19/23
Katika episode hii tunajadili namna mabadiliko ya tabia ya nchi yanavyoathiri sekta ya kilimo Tanzania na namna wanawake wanavyoweza kuongeza uzalishaji wa chakula kukabiliana na changamoto hii. Tumewalenga wanawake ambao ndio wazalishaji wa chakula shambani na nyumbani lakini bado wanakabiliwa na changamoto kama teknolojia duni za kilimo na kutokuwepo kwa usawa kumiliki ardhi. Marygoreth Richard ameketi kuzungumza na Mwenyekiti wa chama cha waandishi wa Habari za mazingira Tanzania (JET) Dr...
Published 01/19/23
Kwenye Episode hii ya Tanzania Adapts Podcast, Marygoreth Richard na mtangazaji mwenza Faraja Dogeje wanazungumza na wataalamu wa uvuvi na mabadiliko ya tabia ya nchi Edica Mwasisi kutoka Baraza la usimamizi wa mazingira - NEMC na Jumanne Shabani, mvuvi kwa miaka 32, kujadili namna hali ya hewa isiyotabirika inayosababishwa na mabadiliko ya tabia ya nchi inavyoathiri sekta ya uvuvi Tanzania na namna tunavyoweza kukabiliana nayo.   In this episode of Tanzania Adapts, Marygoreth Richard and...
Published 01/18/23