Tanzania Adapts: Joto linavyoathiri afya ya uzazi na namna ya kukabili
Listen now
Description
Moja ya athari za mabadiliko ya tabia ya nchi ni joto kali. Katika episode hii Marygoreth Richard amekutana na kuzungumza na Mkurugenzi mtendaji wa Doris Mollel Foundation, Doris Mollel kujadili namna joto linalosababishwa na mabadiliko ya tabia ya nchi linavyoleta athari kwa mama mjamzito kujifungua mtoto kabla ya wakati. Kama mwanaharakati wa masuala ya Watoto njiti, kwenye episode hii Doris anatupa mifano aliyokutana nayo ya wanawake wanaopata changamoto na kujifungua Watoto njiti kutokana na mabadiliko hayo. Kuwa sehemu ya mjadala kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii kujadili kwa pamoja mbinu mbalimbali za kukabiliana na mabadiliko hayo. In this episode Marygoreth Richard sits with Doris Mollel, founder and executive director of the Doris Mollel Foundation, to discuss how climate change affects maternal health and ways to adapt. As a leading baby activist, Doris shares examples of how heat stress can cause pregnant women to have premature babies.  Tanzania Adapts is a Kiswahili language podcast created by BBC Media Action in Tanzania. It is produced and presented by Marygoreth Richard. Tanzania Adapts is supported by Irish Aid and the Embassy of Belgium in Tanzania. Learn more on YouTube: https://www.youtube.com/@tanzaniaadapts9082 Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
More Episodes
In this Episode Marygoreth Richard seats with Prof. Dr. Aidan Msafiri (PhD), A University lecturer, UN climate change Ambassador for Tanzania and a Founder and Managing Director of Kilimanjaro Consortium Development and Environment Ecoplus (KCDE). In this fascinating conversation Prof Aidan goes...
Published 06/21/23
Published 06/21/23
Kwenye episode hii ya 17 Tanzania Adapts Podcast - Marygoreth Richard amekaa meza moja kuzungumza na Felister Mahuya kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kujadili namna mabadiliko ya tabia ya nchi yanavyosababisha kutofikiwa kwa haki za msingi za binadamu na namna jamii inavyoweza...
Published 05/26/23