Tanzania Adapts: Part 2 - Athari za mabadiliko ya tabia ya nchi kwenye afya ya akili
Listen now
Description
Kwenye episode hii nimezungumza na Prof. Magreth Bushesha kutoka Idara ya Jiografia ya Chuo Kikuu Huria Tanzania ambaye pia amebobea kwenye masuala ya mabadiliko ya tabia ya nchi na maisha ya jamii. Kwenye Episode hii tunajadili namna mabadiliko ya tabia yanavyoleta athari kwenye afya ya akili kwa kuzingatia changamoto mbalimbali zinazoletwa na mabadiliko hayo katika maisha ya kila siku ya jamii. Sikiliza sehemu ya pili ya mazungumzo hayo kwenye link inayofuata. Karibu. In this episode, we discuss how climate change impacts mental health. Marygoreth Richard sits with Professor Magreth Bushesha from the geography department at the Open University of Tanzania, who specialises in climate change and livelihood systems. Tanzania Adapts is a Kiswahili language podcast created by BBC Media Action in Tanzania. It is produced and presented by Marygoreth Richard. Tanzania Adapts is supported by Irish Aid and the Embassy of Belgium in Tanzania. Learn more on YouTube: https://www.youtube.com/@tanzaniaadapts9082 Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
More Episodes
In this Episode Marygoreth Richard seats with Prof. Dr. Aidan Msafiri (PhD), A University lecturer, UN climate change Ambassador for Tanzania and a Founder and Managing Director of Kilimanjaro Consortium Development and Environment Ecoplus (KCDE). In this fascinating conversation Prof Aidan goes...
Published 06/21/23
Published 06/21/23
Kwenye episode hii ya 17 Tanzania Adapts Podcast - Marygoreth Richard amekaa meza moja kuzungumza na Felister Mahuya kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kujadili namna mabadiliko ya tabia ya nchi yanavyosababisha kutofikiwa kwa haki za msingi za binadamu na namna jamii inavyoweza...
Published 05/26/23