Tanzania Adapts:Kukabiliana na ukatili unaosababishwa na mabadiliko ya tabia ya nchi.
Listen now
Description
Leo kwenye Podcast hii Marygoreth Richard anazungumza na Bi. Rose Mnjilo ambaye ni Mkurugenzi wa shirika lisilo la kiserikali linaloshughulikia masuala ya ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake na Watoto kwa jamii za kifugaji.Leo utazungumzia ambavyo namna mabadiliko ya tabia ya nchi yanavyoweza kusababisha ukatili wa kijinsia kwa wanawake na Watoto na namna ya kukabiliana nao. On this Episode Marygoreth Richard seats with Rose Mnjilo – An expert from Pastoralists' community in Tanzania to discuss on how Climate Change can cause Gender Based Violence in the community. Tanzania Adapts is a Kiswahili language podcast created by BBC Media Action in Tanzania. It is produced and presented by Marygoreth Richard. Tanzania Adapts is supported by Irish Aid and the Embassy of Belgium in Tanzania. Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
More Episodes
In this Episode Marygoreth Richard seats with Prof. Dr. Aidan Msafiri (PhD), A University lecturer, UN climate change Ambassador for Tanzania and a Founder and Managing Director of Kilimanjaro Consortium Development and Environment Ecoplus (KCDE). In this fascinating conversation Prof Aidan goes...
Published 06/21/23
Published 06/21/23
Kwenye episode hii ya 17 Tanzania Adapts Podcast - Marygoreth Richard amekaa meza moja kuzungumza na Felister Mahuya kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kujadili namna mabadiliko ya tabia ya nchi yanavyosababisha kutofikiwa kwa haki za msingi za binadamu na namna jamii inavyoweza...
Published 05/26/23