Tanzania Adapts: Mabadiliko ya tabia ya nchi yanavyoathiri afya ya uzazi
Listen now
Description
Kufuatia episode yetu iliyopita hii ni sehemu ya pili ya mazungumzo yetu ya namna mabadiliko ya tabia ya nchi yanavyosababisha athari kwenye afya ya uzazi kwa wanawake. Kwenye episode hii tumeenda mbali zaidi na kumtafuta Daktari kuangalia tafiti, ushahidi wa kisayansi unavyosema juu ya kinachotokea hadi athari hizi kuonekana moja kwa moja kwenye afya ya uzazi ya mwanamke. Ni joto au kuna mengine? Mtangazaji Marygoreth Richard amekutana na Dr Amani Kikula ambaye ni Daktari bingwa wa magonjwa ya kinamama wa hapa Tanzania. Following our previous episode, we extended this discussion with the doctor to find out more about how climate change could be affecting maternal health in Tanzania. In this episode Marygoreth Richard sits with Dr Amani Kikula who is an obstetrician and gynecologist, reproductive health scientist and lecturer at Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS) to discuss the main areas of concern, research and evidence on how climate change affects maternal health. Dr Kikula also provides some tips on ways in which we can adapt to these changes for both men and women in Tanzania. Tanzania Adapts is a Kiswahili language podcast created by BBC Media Action in Tanzania. It is produced and presented by Marygoreth Richard. Tanzania Adapts is supported by Irish Aid and the Embassy of Belgium in Tanzania. Learn more on YouTube: https://www.youtube.com/@tanzaniaadapts9082 Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
More Episodes
In this Episode Marygoreth Richard seats with Prof. Dr. Aidan Msafiri (PhD), A University lecturer, UN climate change Ambassador for Tanzania and a Founder and Managing Director of Kilimanjaro Consortium Development and Environment Ecoplus (KCDE). In this fascinating conversation Prof Aidan goes...
Published 06/21/23
Published 06/21/23
Kwenye episode hii ya 17 Tanzania Adapts Podcast - Marygoreth Richard amekaa meza moja kuzungumza na Felister Mahuya kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kujadili namna mabadiliko ya tabia ya nchi yanavyosababisha kutofikiwa kwa haki za msingi za binadamu na namna jamii inavyoweza...
Published 05/26/23