Tanzania Adapts:Namna mabadiliko ya tabia ya nchi yanavyoleta athari ya upatikanaji wa maji Tanzania
Listen now
Description
Kwenye episode hii nimezungumza na Prof. Alex Kisingo ambaye ni Profesor mshiriki kutoka Chuo cha usimamizi wa wanyamapori mweka Tanzania tukijadili juu ya hii changamoto ya upatikanaji wa maji na namna mabadiliko ya tabia ya nchi yanavyochangia na kuathiri upatikanaji wa maji Tanzania. Tulifanya mazungumzo haya kwa njia ya simu akitokea Moshi Tanzania na mimi nikiwa Dar es salaam. In this episode we discuss how climate change affects access to water in Tanzania. Marygoreth Richard sits with Professor Alex Kisingo, an associate professor from the College of African Wildlife Management (CAWM), Mweka. We conducted a phone interview to discuss this topic as we are currently experiencing water scarcity in many parts of Tanzania.  Tanzania Adapts is a Kiswahili language podcast created by BBC Media Action in Tanzania. It is produced and presented by Marygoreth Richard. Tanzania Adapts is supported by Irish Aid and the Embassy of Belgium in Tanzania. Learn more on YouTube: https://www.youtube.com/@tanzaniaadapts9082 Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
More Episodes
In this Episode Marygoreth Richard seats with Prof. Dr. Aidan Msafiri (PhD), A University lecturer, UN climate change Ambassador for Tanzania and a Founder and Managing Director of Kilimanjaro Consortium Development and Environment Ecoplus (KCDE). In this fascinating conversation Prof Aidan goes...
Published 06/21/23
Published 06/21/23
Kwenye episode hii ya 17 Tanzania Adapts Podcast - Marygoreth Richard amekaa meza moja kuzungumza na Felister Mahuya kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kujadili namna mabadiliko ya tabia ya nchi yanavyosababisha kutofikiwa kwa haki za msingi za binadamu na namna jamii inavyoweza...
Published 05/26/23