Tanzania Adapts: Utekelezaji wa sera na mikakati kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi Tanzania
Listen now
Description
Kwenye Tanzania Adapts Podast wiki hii Marygoreth Richard anazungumza na Mwanahamis Singano Mwanahamisi Singano, Mtaalamu wa masuala ya jinsia na mabadiliko ya tabia ya nchi na harakati zake zimejikita kwenye kuangazia ni kwa namna gani mapambano ya usawa wa kijinsia katika jamii yanaenda sambamba na mapambano dhidi ya athari zitokanazo na mabadiliko ya tabia ya nchi. Tumezungumza mengi tukiangalia utekelezaji wa sera na mikakati ya mabadiliko ya tabia ya nchi Tanzania na namna kila mmoja anaweza kuwa sehemu ya kusukuma ama kufanikisha utekelezaji wa mikakati hii. In this Episode, Marygoreth Richard talks to Mwanahamis Singano - Gender and Climate Change expert from Tanzania to discuss the implementation of Climate Change adaptation strategies and policies in Tanzania. Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
More Episodes
In this Episode Marygoreth Richard seats with Prof. Dr. Aidan Msafiri (PhD), A University lecturer, UN climate change Ambassador for Tanzania and a Founder and Managing Director of Kilimanjaro Consortium Development and Environment Ecoplus (KCDE). In this fascinating conversation Prof Aidan goes...
Published 06/21/23
Published 06/21/23
Kwenye episode hii ya 17 Tanzania Adapts Podcast - Marygoreth Richard amekaa meza moja kuzungumza na Felister Mahuya kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kujadili namna mabadiliko ya tabia ya nchi yanavyosababisha kutofikiwa kwa haki za msingi za binadamu na namna jamii inavyoweza...
Published 05/26/23