Tanzania Adapts: Upandaji miti kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi.
Listen now
Description
Kwenye episode hii nimezungumza na Mkuu wa Wilaya ya Hanang mkoani Manyara Bi. Janeth Mayanja tukijadili juu ya upandaji miti kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi ambapo katika wilaya yake anahamasisha upandaji wa miti ya matunda. Pia ndani ya Podcast hii nimezungumza na Afisa Misitu kutoka Wakala wa misitu Tanzania wilaya ya Hanang Rajabu Salehe Mzee akituambia ni kwa namna gani miradi ya namna hii inasaidia kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi. This Podcast episode is recorded from the field where Marygoreth visited a project that implements tree planting in Manyara region looking at Climate Change adaptation through planting trees. In this episode you will hear from Hanang District Commissioner Janeth Mayanja as we discuss about the project in the region. Also, I interviewed Tanzania Forest Service Agency Officer from Manyara Rajabu Salehe Mzee and Ms. Adelina Manya, Nangwa Secondary School Headteacher who are implementing the project. Tanzania Adapts is a Kiswahili language podcast created by BBC Media Action in Tanzania. It is produced and presented by Marygoreth Richard. Tanzania Adapts is supported by Irish Aid and the Embassy of Belgium in Tanzania. Learn more on YouTube: https://www.youtube.com/@tanzaniaadapts9082 Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
More Episodes
In this Episode Marygoreth Richard seats with Prof. Dr. Aidan Msafiri (PhD), A University lecturer, UN climate change Ambassador for Tanzania and a Founder and Managing Director of Kilimanjaro Consortium Development and Environment Ecoplus (KCDE). In this fascinating conversation Prof Aidan goes...
Published 06/21/23
Published 06/21/23
Kwenye episode hii ya 17 Tanzania Adapts Podcast - Marygoreth Richard amekaa meza moja kuzungumza na Felister Mahuya kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kujadili namna mabadiliko ya tabia ya nchi yanavyosababisha kutofikiwa kwa haki za msingi za binadamu na namna jamii inavyoweza...
Published 05/26/23