Tanzania Adapts: Part 2 - Ubunifu matofali yanayotokana na taka za Plastiki
Listen now
Description
 “Nilijifunza kupitia mtandao kuanzia nyumbani kwa kutumia sufuria na familia yangu waliona napoteza muda kwa ninachofanya lakini nilisema hapana kwakuwa nimesoma mtandaoni kuwa Plastic ina fursa kubwa sana ambayo hatujaitumia ipasavyo hapa Tanzania” Hellen Sailas (26years). Hellen ni mgeni wetu kwenye Episode hii mpya ya Tanzania Adapts Podcast, ni mwanzilishi na Mkurugenzi Arena Recycling anayetumia ubunifu kurejelesha taka za Plastic kutengeneza matofali magumu yanayotumika kwenye ujenzi. Hii ni sehemu ya kwanza ya Episode hii akielezea amewezaje kuruka viunzi kuanzia ngazi ya familia, kukua kwenye uongozi na ubunifu wake kuleta mabadiliko chanya kimazingira kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi na kutambulika kitaifa na kimataifa. Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
More Episodes
In this Episode Marygoreth Richard seats with Prof. Dr. Aidan Msafiri (PhD), A University lecturer, UN climate change Ambassador for Tanzania and a Founder and Managing Director of Kilimanjaro Consortium Development and Environment Ecoplus (KCDE). In this fascinating conversation Prof Aidan goes...
Published 06/21/23
Published 06/21/23
Kwenye episode hii ya 17 Tanzania Adapts Podcast - Marygoreth Richard amekaa meza moja kuzungumza na Felister Mahuya kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kujadili namna mabadiliko ya tabia ya nchi yanavyosababisha kutofikiwa kwa haki za msingi za binadamu na namna jamii inavyoweza...
Published 05/26/23