Is this your podcast?
Sign up to track ranks and reviews from Spotify, Apple Podcasts and more
Emotional Me Swahili
Kipindi kinachohusisha mijadala na mahojiano kuhusu Akili Hisia yaani Emotional Intelligence. Sikiliza upate kufahamu umuhimu wake na namna unvyoweza kuijenga na kuitumia Emotional Intelligence kwenye maisha yako ya kila siku.
Listen now
Recent Episodes
Wengi huitazama hisia ya Upweke kwa mtazamo hasi lakini episode hii itakufundisha namna ya kuitazama hisia kama fursa ya kutambua mahusiano sahihi kwako pamoja na mbinu ya kukabiliana na Upweke. Zaidi utajifunza kupitia maisha ya Education Specialist Remi ambaye alikabiliana na changamoto hii ya...
Published 11/30/20
Published 11/30/20
Episode hii itakuongoza kupitia mwanasaikolojia mzoefu, namna gani ya kuikaribisha furaha kwenye maisha yako hata wakati wa changamoto. Huku ukijifunza mengi kuihusu furaha kutoka kwenye stori ya maisha ya mchekeshaji nguli JOL Master. 
Published 11/30/20
Do you host a podcast?
Track your ranks and reviews from Spotify, Apple Podcasts and more.
See hourly chart positions and more than 30 days of history.
Get Chartable Analytics »