The Official KaBrazen Trailer
Listen now
Description
Catch a glimpse of the wonderful stories that we will be releasing on the last Saturday of every month! 
More Episodes
Katika kipindi hiki cha KaBrazen, Tata Nduta anasimulia hadithi ya kusisimua kuhusu msichana aliyekuwa na ndoto ya kuimba. Bi Kidude aliimba kwa zaidi ya karne moja huko Zanzibar na kote kote duniani, na anatukumbusha kusikiliza kile kinachotufurahisha…kwani nyoyo zetu zinajua cha...
Published 05/17/24
Published 05/17/24
Ili kuutamatisha msimu wetu wa kwanza wa kiswahili, tunakusimulia hadithi ya Zarina Patel, msichana mdogo aliyeokoa bustani ya Jeevanjee kwa kuzuia igeuzwe kuwa maegesho ya magari. Kwa hivyo waite wenzako, mketi starehe na mfurahie hadithi hii!
Published 11/17/23